F Balozi mpya Wa Tanzania nchini Afrika Kusini akabidhi hati ya utambulisho kwa Rais Ramaphosa | Muungwana BLOG

Balozi mpya Wa Tanzania nchini Afrika Kusini akabidhi hati ya utambulisho kwa Rais Ramaphosa


Balozi mpya wa Tanzania nchini afrika kusini Meja Jenerali Gaudence S Milanzi  amekabidhi hati ya utambulisho kwa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Pretoria. Pamoja na Balozi wa Tanzania, mabalozi wengine 11 toka nchi za mbali mbali duniani nao walikabidhi hati zao za  utambulisho tayari kuanza kufanya kazi katika nchi hiyo.