Breaking: Kikao cha wazazi shule msingi Mayila chavunja kamati ya shule

Na Paschal Malulu-Kahama

Wazazi na walezi wa mtaa wa Mayila Kata ya Nyihogo katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga wameivunja kamati ya shule ya msingi Mayila kwa kushindwa kuwa na imani na kamati hiyo.

Maamuzi hayo yamefuatiwa na kikao cha wazazi kilichofanyika leo shuleni hapo kuazimia kuvunja kamati hiyo huku wazazi wakiomba kupatiwa mapato na matumizi ya ujenzi wa shule hiyo mpya.

Endelea kufuatilia muungwana blog kwa taarifa zaidi…
Mpya zaidi Nzee zaidi