Ndege ya abiria yaanguka Afghanistan maafisa wa wanasema.
Ndege hiyo ilianguka katika eneo la Deh Yak wilaya ya Ghazni, kusini magharibi ya mji wa Kabul, msemaji wa mkoa ameambia vyombo vya habari.
Ndege hiyo ilianguka na kushika moto kutokana na hitilafu ya kiufundi, msemaji huyo alisema.
Awali iliripotiwa kuwa ndege hiyo ni ya shirika la ndege ya Ariana lakini shirika hilo limepinga ripoti hizo.
Hakuna taarifa iliyotolewa kuhusiana na majeruhi.
Tutakufahamisha zaidi kuhusiana na taarifa hii kadiri tutakavyozipokea.