Breaking News: Rais Magufuli amteua mrithi wa Kangi Lugola
byMuungwana Blog 2-
0
Rais Magufuli amemteua George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, nafasi iliyokuwa ikishikiliwa na Kangi Lugola ambaye Rais amepokea na kuridhia barua yake ya kujiuzuru.
Awali Simbachawene alikuwa Waziri wa Muungano na Mazingira.