VIDEO: Baraza la Madiwani walidhia zaidi ya bilioni 170 kutumika


Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, katika Mkutano wake maalumu wa Baraza  leo  Alhamisi,  tarehe  23 Januari 2020,   limejadili na  kuidhinisha kwa kauli moja  bajeti yake ya  Tshs  170, 918,524,100/= kwa mwaka wa fedha 2020/2021  ambapo  Tshs.42,951,312, 000/= ni za Mapato ya ndani ya Manispaa na Tshs. 127,967,212,100/= ni Mapato ya Ruzuku kutoka Serikali kuu  zikijumuisha Tshs. 57,018,968,680/= kwa ajili ya  mishahara,Tshs.1,689,501,000/= za matumizi mengineyo na Tshs. 69,258,742,520, /= za  miradi ya maendeleo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE