Kagera Sugar yaendeleza ubabe kwa timu za Dar, yaitandika Yanga bila huruma
byMuungwana Blog 2-
0
Timu ya Kagera Sugar imefanikiwa kuibuka na ushindi kwa kuitandika Yanga 3-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara katika dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam.