Loading...

1/16/2020

Mama mzazi wa mtoto aliyepewa ujauzito na asjkari aeleza hali halisi

Wakati Polisi Mkoani Kilimanjaro wakiendelea kumtafuta Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani anayetuhumiwa kumpa ujauzito Mtoto wa darasa la saba (14) ambaye ni Mtoto wa Askari mwenzake, mama wa mtoto huyo ameweka wazi mkasa mzima.

Mama wa mtoto huyo ambaye jina lake limehifadhiwa anasema aligundua baada ya kumkuta na simu nakuangalia picha kwenye mtandao wa WhatsApp nakubaini hilo na alipomuuliza Mke wa mwanaume huyo alidai kwamba analifahamu hilo suala na alishamuonya Mume wake.


"Nilishika simu na kuangalia profile picture ya WhatsApp na kubaini hilo, nilipomuuliza Mke wa Askari huyo akadai analifahamu hilo suala na alishamuonya Mume wake kuhusu kutembea na hao Watoto wadogo lakini hakusikia"- Mama wa Mtoto
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger