F Manchester United yakamilisha usajili mwingine | Muungwana BLOG

Manchester United yakamilisha usajili mwingine

Klabu ya Manchester United imetangaza kumsajili golikipa Nathan Bishop kutoka klabu ya Southend
kwa mkataba wa miaka miwili na nusu.