Matokeo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo

 Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ikizikutanisha timu ya KMC na Mtibwa Sugar.

FT: KMC 2-0 Mtibwa Sugar.