Matokeo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwenye viwanja mbalimbali na haya ndio matokeo ya michezo hiyo;

FT: Mbeya City 2-3 Namungo FC.

FT: Polisi Tanzania 1-1 Biashara United .

FT: Alliance FC 0-1 JKT Tanzania.

FT: Coastal Union 1-0 Kagera Sugar

FT: Mwadui FC 1-1 Ruvu Shooting.

FT: KMC 1-1 Lipuli FC


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items