VIDEO: Askari wa Suma JKT adaiwa kumpiga risasi raia, daktari afunguka


Wananchi wa kijiji cha Ilkushin kata ya olturumet wilayani Arumeru wameandamana mpaka hospital ya Olturumet alikokuwa anatibiwa mwananchi ajulikanae kwa jina la Wilian Kalama  baada ya kudaiwa kupigwa risasi kwenye paja na Askari wa Suma Jkt kwa kile kilichodaiwa kuwa alingiza mifugo katika shamba la Mbegu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items