Rais wa Marekani Donald Trump amewasilisha na kutangaza mpano wake mpya wa amani kwa ajili ya Mashariki ya Kati.
Donald Trump , rais wa Marekani Jumanne ameweka bayana na kutangaza mpango wake wa amani kuhusu Mashariki ya Kati, mpango ambao kwa mujbu wa TRump ndio suluhisho la mzozo kati ya wapalestina na Israel.
Mpango huo wa Trump ulikuwa ukisubiriwa kwa hamu kwa kuwa ulidhaniwa kuwa ndio itakuwa suluhisho la kisiasa katika mzozo wa Mashariki ya Kati.
Mpango huo huo umepewa jina la "Makubaliano ya Karne".
Mpango wa Trump kuhusu Mashariki ya Kati kuhusu wapalestina na Israel na kuundwa kwa taifa la wapalestina, rais bado ana akishikilia msimamo wake kuhusu mji wa Yerusalemu kuwa mji mkuu wa Israel.
Taarifa hiyo imetolewa JUmanne baada ya mkutano na wanahabari ikulu White House akihudhuria pia waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Mpango huo una kurasa 80 ambazo rais imefahamishwa kuwa tume kutoka pande mbili itaundwa ili kufikia malengo yake.
Katika mpango huo, rais Trump amesema kuwa Yerusalemu itaendelea kuwa mji mkuu wa Israel.