MUUNGWANA BLOG SASA INAPATIKANA KWENYE SIMU ZA IOS ( IPHONE )

Muungwana Blog inawatangazia Habari njema kwa watumiaji wa simu za IOS yani simu za iphone kuwa kuanzia sasa App yetu pendwa ya Muungwana Blog inapatikana kwenye istore.



Wale wote wanaotumia simu za IOS sasa wanaweza kupata App yetu ya Muungwana blog takita simu zao.