Muakilishi wa Umoja wa Ulaya Josep Borrell ametoa mkono wa pole kwa Uturuki baada ya tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Elazığ na maeneo jirani wiki iliopita.
Watu zaidi ya 39 wamefariki na wengine zaidi ya 1000 wamejeruhiwa katika tetemeko la ardhi ambalo lilikuwa na ukubwa wa 6,8 katika kipimo cha Richter lililotokea Ijumaa usiku.
Muakilishi huyo wa Umoja wa Ulaya ametuma salama za rambi rambi na mkono wa pole kwa waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu kufua maafa na uharibifu uliotokea.