Rais Magufuli apokea hati za utambulisho toka kwa mabalozi wa Algeria, Ujerumani na Qatar

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria nchini Mhe. Ahmed Djellal kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo jioni Jumanne Januari 14, 2020.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani nchini Mhe. Regina Hess kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo jioni Jumanne Januari 14, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule Taifa la Qatar nchini Mhe. Hussein Bin Ahmed Mohamed Ibrahim Al-Homaid katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo jioni Jumanne Januari 14,2020.

PICHA NA IKULU