Samata aondoka Rasmi Genk

MSHAMBULIAJI wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mtanzania, Mbwana Samatta amewaaga wachezaji na viongozi wa timu hiyo tayari kwa safari yake kwenda kucheza Ligi Kuu England ‘Premier League’.

Samatta anatajwa kuwaniwa na Norwich City inayoshiriki katika Premier ikidaiwa kuwa imeweka mezani dau la pauni milioni 11 (Sh bilioni 33).

Baba mzazi wa mshambuliaji huyo, mzee Ally Samatta ya Uganda alivunjiwa mkataba na klabu hiyo Desemba, mwaka jana na kuwa mchezaji huru.

Habari kutoka Kenya zimethibitisha straika huyo kusaini mkataba huo wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza zaidi huku akienda kuchukua mikoba ya alisema kuwa tayari mtoto wake ameshaaga wachezaji na viongozi wa timu hiyo kufuatia mpango wake wa kutaka kutimka kwenda kucheza England.

“Samatta sasa hivi hayupo Ubelgiji ameshaaga wachezaji, viongozi na mashabiki juu ya suala la usajili wake wa kwenda kucheza England kwa sababu klabu zinazohitaji huduma yake ni nyingi.

“Unajua alitakiwa aondoke muda sana isipokuwa wakala wake wa awali alikuwa akimsubirisha na muda unapotea, baadaye ndipo akabadili wakala, ambapo tayari kuna ofa ya hao Norwich, pia kuna West Ham na Brighton ni jambo la kusubiria kuona itakuaje,” alisema mzee Samatta.