F Tottenham yamsajili winga Steven Bergwijn | Muungwana BLOG

Tottenham yamsajili winga Steven Bergwijn

Klabu ya Tottenham imemsajili winga Steven Bergwijn kutoka klabu ya from PSV Eindhoven kwa mkataba wa miaka mitano na nusu.

 Bergwijn mwenye miaka 22 alifanyiwa vipimo vya afya Jumanne jijini London.