VIDEO: Hatma ya mashabiki wa Yanga waliosafiri kwa baiskeli kutoka Mtwara


Mashabiki wa kalbu ya Yanga SC waliosafiri kwa baiskeli kutoka Mtwara kuja kuangalia mchezo dhidi ya Simba Sc wamesema wameridhishwa na matokeo na kilichoonyoshwa na timu yao huku wakiahidi kuendelea kuipa nguvu timu yao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE