Loading...

1/22/2020

VIDEO: IGP Sirro atoa neno, mauaji ya kishirikina yanayoendelea


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amekutana na Makamanda wa
Polisi wa mikoa mitano ya Kanda ya Ziwa kwa lengo la kuweka mikakati na
mpago kazi wa pamoja katika kushughulikia matukio ya mauaji yanayojitokeza
nchini ikiwa ni pamoja na kupambana na watu wanaojihusisha na vitendo
hivyo kwa kuwakamata na kuwashughulikia kwa mujibu wa sheria za nchi

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU KUBSCRIBE

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger