VIDEO: ''IGP SIRRO'' Tutaendelea kuchukua hatua kali


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro ameendelea kuwaonywa
wananchi kuacha kujihusisha na vitendo vya mauaji yanayotokana na imani za
ushirikina na kwamba amesisitiza kuwa, suala la amani ni la umuhimu hususani
kwa maendeleo ya taifa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KU SUBSCRIBE