Baada ya matokeo ya kidato cha nne kutoka na jiji la Arusha kuongoza, Afisa elimu wa Jiji hilo Omary Kwesiga ametoa pongezi na shukrani kwa, Rais Dkt John Pombe Magufuli na Mkurugenzi wake Dkt Maulid Madeni kwa namna walivyopelekea jiji hilo kuongoza kitaifa.
Attachments area
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE
