VIDEO: Kiongozi CCM aibua mapya ''hakuna kuwapelekea Mawaziri kitabu cha ofisi hotelini''


Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Njombe, Jasel Mwamwala amewapiga marufuku viongozi wa chama hicho mkoa mbele ya makamu wa  bara Philip Mangula,kuwapelekea mawaziri vitabu vya chama kusaini mahotelini kutokana na baadhi ya mawaziri kushindwa kufuata utaratibu wa kufika katika ofisi za chama wakati wanapofika mkoani hapo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi