Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeitaka Halmashauri ya Jiji la Dodoma kusimamia kikamilifu fedha za asilimia kumi 10% ya Mikopo inayotolewa na Halmashauri hiyo kwa makundi Maalamu kwani wamebaini kuwa fedha hizo kutolewa katika vikundi maalumu lakini hazina usimamizi mzuri
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE
