VIDEO: BAVICHA waibuka na kauli ya Rais Magufuli ''tunaanza siasa''


Mwenyekiti  wa Baraza la Vijana CHADEMA mkoani Arusha Emmy Kimambo amesema kuwa kwasasa kuna umuhimu wa kuendelea kudai katiba mpya ambapo ametaka sheria kusimamiwa katika kuelekea katika Uchaguzi ambapo pia amesema Raisi Magufuli muda aliotoa kuhusu mikutano ya hadhara umeshaisha hivyo wataanza mikutano rasmi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE