Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustine Lyatonga Mrema ameitaka Serikali ya Chama cha Mapinduzi CCM imfidie shilingi bilioni mbili kutokana na mateso aliyoyapata ya kubambikiziwa kesi, huku akimuomba Rais Magufuli kumsaidia ili kuondoa unyonge aliokua nao kwa mda mrefu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE
