VIDEO: Naibu Waziri ashangazwa na teknolojia iliyobuniwa na Sido


Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Eng. Stellah Manyanya, amesema endapo taasisi zinazofanya utafiti na  zinazobuni na kutekeleza technolojia rahisi hapa nchini zitawezeshwa kifedha basi tutafikia lengo la kuwa na viwanda na kufikia uchumi wa Viwanda.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi