VIDEO: RC Arusha atoa siku saba mkataba uvunjwe, mkandarasi aingia mitini


Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mrisho Gambo  ametoa siku 7 kwa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuvunja mkataba na mkandarasi wa kampuni ya Juniour Construction anayekarabati barabara ya Naiyobi mpaka eneo la View Point baada ya kutoridhishwa na kasi ya ujenzi ya mkandarasi huyo licha ya kuongezewa miezi mitano bado barabara hiyo haipitiki.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items