VIDEO: Tetesi za soka leo Januari 14


Mwekezaji Mkuu WA  Simba, Mohammed Dewji 'Mo' ametangaza kujiondoa katiaka Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo ikiwa ni baada ya timu yake kufungwa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika fainali ya Mapinduzi CUP.
Mo ameeleza kuwa kwa sasa ataendeleza zaidi soka la vijana na kukuza miundombinu ndani ya klabu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE