VIDEO: Waganga wa tiba asili Mkoani Mwanza wamlilia Ummy Mwalimu


Umoja wa Waganga wa tiba asilia Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wamemuomba Waziri wa Afya, jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, kuwaagiza watoaji wa leseni kuwahisha, ili wapewe vibali vya kuendelea na kazi hiyo,baada ya  Jeshi la polisi kutangaza  oparesheni ya kuwakamata  wasiokuwa  leseni

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KU SUBSCRIBE