Waandamanaji 30 wajeruhiwa katika maandamano Iraq

Baada ya makabaliano yaliotokea baina ya waandamanaji na  na jeshi la Polisi Nasiriyah yaliochukuwa masaa kadhaa watu 30 wameripotiwa kujeruhiwa.

Maandamano  hayo nchini Iraq yalitolewa wito na Mogtadar Sadre Jumapili na baadae kuondoka katika maeneo waliokuwa wametolewa wito kuondamana.

Hospitali  imetoa taarifa kwamba imewapokea watu 30 ambao wamejeruhiwa katika maandamano Jumapili.

Taarifa hiyo imethibitishwa pia  na ripota wa shirika la habari la Uturuki Anadolu.
Mpya zaidi Nzee zaidi