Aristica Cioaba atangazwa kocha bora mwezi januari


Kocha wa timu ya Azam FC ya Dar es Salaam, Aristica Cioaba amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/2020 akiwashinda wenzake wawili,Sven Vandenbroeck wa Simba na Malale Hamsini wa Polisi Tanzania alioingia nao fainali