Atakayempa ombaomba fedha kutozwa faini ya laki 200,000
byMuungwana Blog 5-
0
Halmashauri ya Manispaa ya Ilala imetangaza kuanza msako mkali kwa ombaomba, Mkurugenzi amesema Mtu atakayekamatwa akimpa fedha ombaomba atatozwa faini ya Tsh. 200,000 au kwenda Mahakamani.