Mrembo huyo ambaye alifungwa Hong Kong China mwaka 2012 kwa kosa hilo, alimaliza kifungo chake Disemba mwaka 2019, na baada ya hapo alirudishwa nchini Tanzania.
Ijumaa hii muimbaji, Z Anto ambaye alimtambulisha mrembo huyo kwenye tasnia ya sanaa kupitia wimbo Binti Kiziwi, amlitembelea na kuzungumza naye mawili matatu kuhusu maisha yake mapya baada ya kurejea uraiani.
