F Breaking News: Jalada la uchunguzi sakata la Lugola limekamilika | Muungwana BLOG

Breaking News: Jalada la uchunguzi sakata la Lugola limekamilika


Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema ndani ya wiki moja kuanzia leo Ijumaa Februari 21, 2020 itatoa jalada la uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola na wenzake 17