Hakim Ziyech mbioni kutua Chelsea mwisho wa msimu

Klabu ya Chelsea ipo kwenye mazungumzo ya kusajili Hakim Ziyech kutoka klabu ya Ajax kwa dau la £38m.

Ziyech ni mmoja katia ya wachezaji waliopendekezwa na kocha Frank Lampard kwenye dirisha la usajili la mwezi Januari lakini Ajax walisisitiza kubaki naye hadi majira ya kiangazi.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items