Sancho kuondoka Borussia Dortmund

Mchezaji wa klabu ya Borussia Dortmund Jadon Sancho anategemea kuondoka kwenye klabu hiyo   kwenye dirisha la usajili la kiangazi na klabu ya Manchester United ipo mbioni kunasa saini ya mchezaji huyo ili atue Old Trafford.

Mchezaji huyo ambaye atatimiza miaka 20 mwezi ujao amekua kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza tangia ajiunge na Dortmund akitokea klabu ya Manchester City mwaka 2017.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items