Jeshi la Uturuki (TSK) limeongezea nguvu vikosi vyake vya uangalizi vilivyopo katika mji wa Idlib kwa kupeleka silaha zaidi na askari.
Msafara wa magari yaliyosheheni silaha nzito kutoka kwenye vikosi tofauti vya jeshi la Uturuki ulivuka mpaka wa Reyhan kuingia Syria.
Slaha hizo china ya ulinzi mkali zitapelekwa katika vituo vya uangalizi vya Uturuki vilivyopo Syria.