https://monetag.com/?ref_id=TTIb Maji Ya Ziwa Victoria Kufika Tabora | Muungwana BLOG

Maji Ya Ziwa Victoria Kufika Tabora

Mkurugenzi wa Idara ya Usambazaji Maji, Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Kemikimba akipanda katika tanki la maji la Ushirika wilayani Igunga kujionea kiwango cha msukumo wa maji.

Tanki hilo lina uwezo wa kutunza maji lita milioni 2.5 na linatosha kuhudumia mji wa Igunga na pembezoni.