Matokeo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwa mchezo mmoja kati ya KMC  dhidi ya Coastal Union, mchezo uliopigwa kwenye dimba la Uhuru na kwisha kwa sare ya 0-0.

FT: KMC 0-0  Coastal Union.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items