Nyumbani Matokeo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo byMuungwana Blog 2 -2/19/2020 06:07:00 PM 0 Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwenye viwanja vitatu na haya ndio mataokeo ya michezo hiyo; FT: Ndanda SC 1-1 Azam FC. FT: Alliance FC 4-1 Mwadui FC. FT: Tanzania Prisons 0-0 Mtibwa Sugar. Facebook Twitter