Kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar alipolazwa Mtoto Said Ally ambaye anasumbuliwa na tatizo la Kansa, Rashid Mohamed ni msemaji wa familia na Mtu aliyesaidia kuonesha tatizo la Said kwa mara ya kwanza na hapa anasimulia hali ya Mtoto huyo ilivyo kwa sasa.
"Tulianza pilika ya kumsafirisha, ila Mashirika ya ndege yalipojua hali ya Mtoto wakataka hadi tupate barua ya Daktari ya kuthibitisha Mtoto kusafiri na kama hakutokuwa na athari kwa wengine”-Rashid
“Nilizungumza na RC Makonda na aliniambia anamtaka Mtoto DSM, lakini Waziri wetu pia alisema tukutane na tukaelekea Mnazi Mmoja, Mtoto akapewa kitanda, ila wengi wamejitokeza kutaka kumsaidia apelekwe Muhimbili au KCMC Moshi" -Rashid