Neymar aweka rekodi ya kipekee katika ligi tano bora barani ulaya

Mshambuliaji wa PSG, Neymar Jr. ameweka rekodi ya kipekee miongoni mwa washambuliaji bora katika ligi tano bora barani ulaya baada ya kuoneshwa kadi nyekundi kwa mara ya tisa (9) tangu aanze soka la kulipwa huku akiweka rekodi ya kuoneshwa kadi ya njano mara 158.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items