Watu 9 waripotiwa kufariki katika tetemeko la ardhi lililotokea eneo la Mashariki mwa Uturuki mpakani na Iran
Watu 9 wameripotiwa kufariki katika tetemeko l ardhi lililotokea katika eneo la Mashariki mwa Uturuki karibu na mpaka na Iran.
Tetemeko hilo limetokea Jumapili.
Watu 9 wamefariki na wengine 37 wamejeruhiwa katika tetemeko la ardhi lililokuwa na ukubwa wa 5,9 katika kipimo cha Richter.
Tetemeko lililotokea katika mji wa Khoy Kaskazini-Magharibi mwa Iran limesikika mkoani Van na kusababisha maafa.
Waziri wa afya wa Uturuki Fahrettin Koca amesema kuwa watu 9 miongoni mwa watu waliojeruhiwa wapo katika hali mbaya mno.
Waziri wa mambo ya ndani Süleyman Soylu amesema kuwa majumba kadhaa yamebomoka katika kitongoji cha Başkale mkoani Van.
Mwezi uliopita watu 40 walifariki katika tetemeko la ardhi lililotokea mkoani ElaziÄŸ.