Picha: Timu ya Taifa ya wanawake U20 wakiondoka Uganda kurejea nyumbani

Timu ya Taifa ya wanawake U20 wakiwa wanaondoka Uganda tayari kwa safari ya kurejea nyumbani Tanzania,timu hiyo inatua saa 7:35 mchana Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) baada ya kuifunga Uganda mabao 2-1 Uwanja wa KCCA,Lugogo na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-2 katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia.




Mpya zaidi Nzee zaidi