Loading...

2/14/2020

Picha: Waziri Simbachawene aongoza kikao cha kupitia utekelezaji bajeti na miradi ya maendeleo


 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Makao Makuu ya Wizara na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (hawapo pichani) katika Kikao cha kupitia Utekelezaji wa Bajeti na Miradi ya Maendeleo, kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (wapili kulia) akimuuliza swali Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dkt. Arnold Kihaule (kushoto), katika Kikao cha Wakuu wa Idara na Vitengo wa Makao Makuu ya Wizara na NIDA cha kupitia Utekelezaji wa Bajeti na Miradi ya Maendeleo, kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara hiyo, Wanja Mtawazo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Makao Makuu ya Wizara na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa katika Kikao cha kupitia Utekelezaji wa Bajeti na Miradi ya Maendeleo, kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, akizungumza na Wakuu wa Idara na Vitengo wa Makao Makuu ya Wizara na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika Kikao cha kupitia Utekelezaji wa Bajeti na Miradi ya Maendeleo, kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Kushoto meza kuu ni Waziri wa Wizara hiyo, George Simbachawene. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (wapili kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara hiyo, Wanja Mtawazo (wapili kushoto), alipokuwa anasoma taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti na Miradi ya Makao Makuu ya Wizara katika Kikao cha Wakuu wa Idara na Vitengo wa wa Wizara hiyo na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) cha kupitia Utekelezaji wa Bajeti na Miradi ya Maendeleo, kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dkt. Arnold Kihaule. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger