F Rais Magufuli afanya uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje | Muungwana BLOG

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya mambo ya Nje


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi(Kanali) Wilbert Augustine Ibuge kuwa katibu mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki.