Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza leo kwamba India na Pakistan zitatanua mkakati wa ushirikiano wao kwa kushirikiana katika eneo la India na nchi za eneo la bahari ya pacifiki pamoja na mikataba ya ulinzi ya thamani ya mabilioni ya dola hatua inayoonekana kukabiliana na hali ya kuimarika kwa China na barani Asia.
Trump amesema kuwa ni kwasababu Modi ni mshauri mkakamavu, tangu kuteuliwa kwake, biashara kati ya mataifa hayo mawili imeimarika kwa zaidi ya asilimia 40.
Kwasasa India ni soko kuu la bidhaa za Marekani zinazouzwa nje na Marekani ni soko kubwa la bidhaa za India zinazouzwa nje .
Trump alitoa tangazo hilo alipokuwa akihutubia umati mkubwa wa takriban watu elfu 125 katika uwanja wa kucheza kriketi mjini Ahmedabad akiwa na waziri mkuu Narendra Modi.