Rais wa Uturuki kufanya ziara nchini Pakistani Februari 14


Rais Recep Tayyıp ErdoÄŸan atarajiwa kufanya ziara rasmi nchini Pakistani   kati ya Februari 13 na 14.

Spika wa bunge la Pakistani, Asad Qaiser amethibitisha kuwa rais ErdoÄŸan atahotubia  katika baraza la seneti na bunge katika ziara yek hiyo nchini Pakistani.

Rais ErdoÄŸan amefanya ziara yake ya kwanza nchini Pakistani mwaka  2009, ya pili mwaka  2012 na ya tatu mwaka  2016.
Mpya zaidi Nzee zaidi