Tyson Fury na Wilder wataka kuzipiga ‘Kavu kavu’ Las Vegas

Bondia Mmarekani, Deontay Wilder (kushoto) akimsukuma mpinzani wake, Muingereza Tyson Fury jana kwenye mkutano na wa mwisho na Waandishi wa Habari mjini Las Vegas, Marekani kuelekea pambano lao la Jumapili asubuhi ukumbi wa MGM Grand Jijini humo, ambalo ltakuwa na marudiano baada ya wawili hap kutoka droo Desemba 2018.