Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake U17 wakijiandaa na mchezo wa kufuzu kombe la Dunia

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake U17  wakiendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Uganda utakaochezwa Machi 1,2020 Kwenye Uwanja wa Taifa.




Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items